Karibu utembelee Blog yangu! Mimi ni Pili Mwinyi khamis ni mwenyeji wa Zanzibar, hapo awali nilikuwa nikifanya kazi Sauti ya Tanzania Zanzibar na hivi sasa nipo nchini China katika Redio China Kimataifa.
Karibu utembelee blog yangu! Mimi Khamisi Shaabani kutoka Sauti ya Tanzania Zanzibar(STZ) sasa nipo China nikiwa katika kituo cha Redio China Kimataifa.
Wachezaji wenye umri mkubwa waliopata medali za dhahabu wakati wa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Beijing 2008/09/26 Kwenye Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Beijing iliyofungwa hivi karibuni, wachezaji wawili ambao wana umri wa zaidi ya miaka 50, walipata medali za dhahabu kwenye mashindano ya baiskeli ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Beijing. Kati ya wachezaji hao wawili, mmoja ni mchezaji mwanamume mwenye umri wa miaka 50 kutoka Uswis Bw. Heinz Frei...
Vyombo vya habari duniani vyaipongeza sherehe ya ufungaji ya michezo ya Olimpiki ya walemavu 2008/09/19 Vyombo vya habari vya China na nchi za nje vimechapisha makala za kuipongeza michezo ya Olimpiki ya walemavu iliyofungwa tarehe 17 usiku hapa Beijing. Makala hizo zinasifu maonesho murua ya michezo ya sanaa kwenye sherehe hiyo, na kusema sherehe hiyo imeonesha kuwa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Beijing imefanikiwa kikamilifu.