• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kusherehekea mkesha wa X'mas pamoja na DJ Mosy







    More>>
    Niliyoona mjini Beijing
    • Kusherehekea sikukuu ya Krismas pamoja na Dj Mosy
    Kipindi hiki ni cha nne katika mfululizo wa vipindi vya "Fuatana nami, ione Beijing", katika vipindi vilivyopita tumefuatana na Bw. Fadhili Mpunji kuona kundi la vijana wa China jinsi wanavyopiga ngoma, kupanda subway ya Beijing na kutembelea sehemu ya Nanluoguxiang. Katika kipindi hiki, Bw. Fadhili atatuonesha jinsi wachina wanavyosherehekea sikukuu ya Krismas.
    More>>
    Picha
    More>>
    Blog yangu
    • Krismas mjini Beijing
    Kwa kuwa Beijing ni kama nyumbani kwa watu kutoka kila kona ya dunia, watu kutoka sehemu mbalimbali na wenyeji wao walijumuika kwenye klabu mbalimbali kusherehekea mkesha na siku ya krismas. Mimi nilibahatika kutembelea Klabu mbili, moja wakati wa mkesha na nyingine siku ya krismas. Kwenye mkesha wa Krismas niliona vijana wengi wenyeji kwa wageni wakijumuika kwenye Klabu ya Chambers ambayo DJ mtanzania Bw Moses aliendesha sherehe na kutoa burudani safi ya muziki.
    More>>
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako