Uchunguzi wa maoni kuhusu mikutano ya mwaka 2010 ya Bunge la umma la China na Baraza la mashauriano ya kisiasa la China Mikutano ya mwaka 2010 ya Bunge la umma la China na Baraza la mashauriano ya kisiasa la China itafanyika mwezi Machi hapa Beijing. Radio China Kimataifa imeandaa uchunguzi wa kukusanya maoni ya wasikilizaji wake popote walipo duniani kuhusu mikutano hiyo miwili na masuala yatakayofuatiliwa zaidi kwenye mikutano hiyo. Karibuni.