• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yafuata njia ya kujiendeleza inayolingana na hali halisi ya nchi

    (GMT+08:00) 2012-03-09 17:41:44

    Spika wa Bunge la Umma la China Bw. Wu Bangguo amesema, ili kushughulikia vizuri mambo ya China, ni lazima kuzingatia hali halisi ya nchi na kutegemea nguvu ya watu wa China katika kufuata njia ya kujiendeleza.

    Bw. Wu amesema mfumo wa Bunge la Umma la China ni mfumo wa kisiasa wa kimsingi, na mfumo wa ujamaa wenye umaalumu wa China ukiwemo mfumo wa Bunge la Umma la China ni uhakikisho wa kimsingi kwa ajili ya maendeleo ya China katika karne hii, hivyo ni lazima kuuenzi na kuudumisha kwa muda mrefu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako