• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hu Jintao na Xi Jinping wahudhuria mkutano wa Kamati ya kijeshi ya kamati kuu ya CPC

    (GMT+08:00) 2012-11-17 18:50:58

    Bw. Hu Jintao na katibu mkuu mpya wa Kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China Bw. Xi Jinping ambaye pia ni mwenyekiti wa Kamati ya kijeshi ya Kamati kuu ya chama jana tarehe 16 wamehudhuria mkutano wa kamati ya kijeshi ya kamati kuu ya chama.

    Akitoa hotuba muhimu kwenye mkutano huo Bw. Hu Jintao amesema Bw. Xi Jinping ni katibu mkuu anayefikia kigezo cha sifa wa Chama cha Kikomunisti cha China, pia ni mwenyekiti anayefikia kigezo cha sifa wa Kamati kuu ya kijeshi, na kwamba hakika Xi Jinping ataweza kuwa na mshikamano na viongozi wengine wa Kamati kuu ya kiijeshi kutekeleza vizuri majukumu makubwa anayobeba.

    Kwa upande wake Bw. Xi Jinping amemsifu sana Bw. Hu Jintao kwa mchango wake mkubwa katika ujenzi wa chama na taifa, ulinzi wan chi na ujenzi wa jeshi. Na amesisitiza kuwa, ni lazima kusukuma mbele ulinzi wa nchi na ujenzi wa jeshi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako