• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya

  • Viongozi wa awamu mpya wa serikali ya China wachakuliwa
    Habari
    • Mkutano wa kwanza wa Bunge la 12 la umma la China wafungwa 2013-03-17
    • Rais Xi Jinping asema China siku zote itajiendeleza kwa amani 2013-03-17
    • Baraza jipya la serikali ya China lapitishwa kwenye bunge la umma 2013-03-16
    • China yasema maelengo ya maendeleo endelevu yanapaswa kufuata hali halisi za nchi 2013-03-15
    • Rais wa China na Marekani wajadili uhusiano wao kwa njia ya simu 2013-03-15
    More>>
    Maelezo
    • Kuhudumia familia zilizopoteza mtoto wao wa pekee
    Tatizo kubwa linaloikumba jamii ya China hivi sasa ni jinsi ya kuwatunza wazee ambao watoto wao wamefariki. Kama inavyojulikana, hapa China kuna sheria ya kuwa na mtoto mmoja tu kwa familia moja. Sasa kama mtoto huyo amefariki, wazazi wake wanatunzwa na nani? Wazazi hao wanajikuta wakikabiliwa na matatizo makubwa ya kiuchumi, kisaikolojia, na ya kijamii.
    • Ujenzi wa utaratibu ni msingi katika mapambano dhidi ya ufisadi
    Mikutano ya mwaka wa bunge la umma na baraza la mashauriano ya kisiasa la China inaendelea hapa Beijing. Uchunguzi uliofanywa na vyombo vya habari unaonesha kuwa, ufuatiliaji kuhusu suala la mapambano dhidi ya ufisadi umeendelea kuchukua nafasi ya mbele kwa miaka kadhaa mfululizo.
    • Mkutano wa kwanza wa bunge la awamu mpya la umma la China wafunguliwa hapa Beijing
    Mkutano wa kwanza wa bunge la awamu mpya la umma la China umefunguliwa tarehe 5 hapa Beijing. Bunge hilo likiwa ni chombo chenye madaraka ya juu nchini China, litachagua na kuamua miundo ya serikali ya awamu mpya ya China. Waziri mkuu wa China Bw. Wen Jiabao siku hiyo amepotoa ripoti ya kazi za serikali kwenye mkutano huo akisisitiza kuwa mageuzi na ufunguaji mlango ni nguvu ya kimsingi ya kusukuma mbele maendeleo ya China, China inapaswa kuwa na ushupavu na burasa zaidi za kisiasa ili kusukuma mbele zaidi mageuzi na ufunguaji mlango.
    • Mkutano wa kwanza wa bunge la awamu mpya la umma la China wafunguliwa hapa Beijing
    Mkutano wa kwanza wa bunge la awamu mpya la umma la China umefunguliwa tarehe 5 hapa Beijing. Bunge hilo likiwa ni chombo chenye madaraka ya juu nchini China, litachagua na kuamua miundo ya serikali ya awamu mpya ya China. Waziri mkuu wa China Bw. Wen Jiabao siku hiyo amepotoa ripoti ya kazi za serikali kwenye mkutano huo akisisitiza kuwa mageuzi na ufunguaji mlango ni nguvu ya kimsingi ya kusukuma mbele maendeleo ya China, China inapaswa kuwa na ushupavu na burasa zaidi za kisiasa ili kusukuma mbele zaidi mageuzi na ufunguaji mlango.
    • China kupunguza miundo ya serikali na kufanya ugatuzi wa madaraka
    Mkutano wa wajumbe wa chama cha kikomunisti cha China umeidhinisha mpango wa kupunguza miuundo na madaraka ya serikali kuu. Mpango wa mageuzi ya miundo ya serikali unatarajhiwa kuwasilishwa kwenye mkutano ujao wa bunge la umma la China.
    • China yashikilia njia ya kujiendeleza kwa amani
    Mkutano wa mwaka wa baraza la mabunge ya nchi za Asia na Pasifiki APPF unafanyika leo tarehe 28 huko Vladivostok, Russia. Katika mkutano huo, spika wa bunge la umma la China, Wu Bangguo, amesisitiza kuwa, kushikilia njia ya kujiendeleza kwa amani ni chaguo la kimkakati lililofanywa na China kwa kufuata mkondo wa maendeleo wa zama za hivi sasa na maslahi ya kimsingi ya China, na msimamo huo hautabadilika kutokana na mabadiliko ya uwezo wa nchi na hadhi yake ya kimataifa.
    • Xi Jinping asisitiza kuwa ni lazima kupambana na ufisadi kwa njia ya ufanisi na ya kisayansi
    Katibu mkuu wa Kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China CPC Bw. Xi Jinping jana tarehe 22 amesisitiza kuwa, ni lazima kupambana na ufisadi kwa njia ya kisayansi yenye ufanisi, kuimarisha kazi ya kuzuia na kusimamia matumizi ya madaraka, kufunga matumizi ya madaraka ndani ya kizimba cha utaratibu wa sheria, ili kuunda utaratibu wa kutoa adhabu wa kuwafanya watu kutothubutu kufanya ufisadi, kuunda utaratibu wa kuzuia watu kufanya ufisadi, na utaratibu ambao ni vigumu kufanya ufisadi.
    • Mwaka 2012 ongezeko la uchumi wa China lilipungua hadi kufikia asilimia 7.8
    Habari kutoka Idara ya takwimu ya China zimesema, pato la taifa la China GDP lilifikia zaidi ya Yuan trilioni 51.9 mwaka jana 2012, hili ni ongezeko la asilimia 7.8. Matumizi ya fedha yalichangia zaidi katika ongezeko hilo.
    More>>
    Picha
    More>>
    Mikutano ya miaka iliyopita
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako