• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China aanza ziara nchini Uzbekistan

    (GMT+08:00) 2013-09-09 10:28:40

    Rais Xi Jinping wa China jana aliwasili mjini Tashkent na kuanza ziara nchini Uzbekistan. Katika ziara yake hiyo, rais Xi Jinping atafanya mazungumzo na rais Islam Abdughanievich Karimov, ambapo watabadilishana maoni kuhusu kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili, na kuhimiza ushirikiano wa kunufaishana. Habari zinasema viongozi hao wawili watatoa nyaraka kuhusu mafanikio yaliyopatikana, na idara na kampuni husika za pande hizo mbili zitasaini nyaraka mbalimbali za ushirikiano.

    Katika nusu ya kwanza ya mwaka huu, thamani ya biashara kati ya China na Uzbekistan ilifikia dola za kimarekani bilioni 2.125, na China imekuwa mwenzi wa pili wa biashara wa Uzbekistan, na kuwa soko la kubwa zaidi la bidhaa za pamba za Uzbekistan.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako