• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 4 wafariki na wengine zaidi ya 290 kupotea kwenye ajali ya kuzama kwa kivuko nchini Korea Kusini

    (GMT+08:00) 2014-04-16 17:53:06

    Shirika la habari la Yonhap limesema kuwa, miili ya watu wanne walifariki katika ajali ya kuzama kwa kivuko nchini Korea Kusini imepatikana, na watu wengine zaidi ya 290 bado hawajulikani walipo.

        Wizara ya kukabiliana na maafa ya Korea Kusini leo imesema, hadi saa 8 na nusu mchana, watu wanne wamethibitishwa kufariki kwenye ajali hiyo, huku wengine 180 wameokolewa.

    Inafahamika kuwa, kivuko hicho kilichobeba abiria 477 kimezama leo asubuhi katika eneo la kusini magharibi la bahari ya Korea Kusini, kilipokuwa kinaelekea kisiwa cha Jeju kutoka In-Cheon.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako