• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaunga mkono jitihada za Nigeria katika kulinda usalama na utulivu wa nchi hiyo

    (GMT+08:00) 2014-04-16 19:04:46

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China Bi. Hua Chunying leo amesema, China inalaani vikali tukio la kutekwa nyara kwa wanafunzi zaidi ya 100 kaskazini mashariki mwa Nigeria.

    Amesema, China inapinga ugaidi wa aina yoyote na imewataka wahusika kuwaachia huru mara moja wanafunzi hao na kuhakikisha usalama wao. China ikiwa ni nchi mwenzi wa kimkakati wa Nigeria, itaendelea kuunga mkono jitihada zinazofanywa na serikali ya Nigeria katika kulinda usalama na utulivu wa nchi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako