• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yazitaka pande zinazozozana za Sudan Kusini zitekeleze kihalisi makubaliano ya kusitisha vita

    (GMT+08:00) 2014-04-16 19:57:18

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bibi Hua Chunying leo amesema, China inazitaka pande zinazozozana nchini Sudan Kusini zitekeleze kihalisi makubaliano ya kusitisha vita, na kulinda miundombinu muhimu ya kiuchumi nchini humo.

    Bibi Hua amesema, China itaendelea kushirikiana na pande husika ikiwemo IGAD ili kurejesha mapema utulivu na utaratibu nchini Sudan Kusini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako