• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya

  • • Michezo ya Olimpiki ya vijana ya Nanjing (video)
    habari
    • Dau la Goran Kopunovic laitoa jasho Simba
     2015-05-15
    • Michuano ya riadha duniani ya Ligi ya Diamond kuanza kutimua vumbi leo Doha
     2015-05-15
    • Cristiano Ronaldo  asaidia waathirika wa tetemeko la ardhi nchini Nepal
     2015-05-15
    • La Liga kuendelea kama kawaida bila ya mgomo
     2015-05-15
    • Vijana saba kutoka Tanzania wachaguliwa kujiunga na Aspire Africa
     2015-05-14
    • Pep Guardiola huenda akatua Manchester City baada ya Bayern kutokuwa na imani naye
     2015-05-14
    More>>
    • fainali iliyochezwa jana jumapili kwa huko Brazil
    Wiki iliyopita katika kipindi hiki cha Jamvi uchambuzi wa timu zinazocheza kombe la dunia nchini Brazil, tulizizungumzia timu za taifa za nchi zilizoingia hatua ya robo fainali na vile vile tukachambua kwa upana mechi za nusu fainali ambapo tulisema tulishuhudia maangamizi makubwa kwa Brazil ilipofungwa na Ujerumani. Pia tuliizungumzia Uholanzi ambayo nayo ilitolewa ingawa kwa taabu na Argentina na kupelekea mechi ya fainali kuvaana miamba miwili kutoka Amerika Kusini Argentina na Ulaya Ujerumani
    • Timu zilizoingia nusu fainali
    Wiki iliyopita katika kipindi hiki cha Jamvi uchambuzi wa timu zinazocheza kombe la dunia nchini Brazil, tulizizungumzia timu za taifa za nchi mbili za Afrika zilizoshiriki michuano hiyo hadi hatua ya mtoano. Timu hizo ni Nigeria na Algeria. Na vile vile tukaona jinsi zilivyofanya kwenye hatua hiyo, ambapo tulisema Algeria ilitolewa lakini ilijikaza kiume baada ya kufungwa na Ujerumani kwa mabao 2-1.
    • Soka labadilisha maisha ya watoto wa mtaani nchini Brazil
    Wakati kombe la dunia la Brazil linapopamba moto na kuingia nusu fainali, mbali na kufuatilia matokeo ya mechi, tuangalie jinsi soka linavyobadilisha maisha ya watu hasa watoto katika nchi hiyo inayojulikana kwa soka.
    • Hatua ya mtoano kwa Algeria na Nigeria
    Wiki iliyopita katika kipindi hiki cha Jamvi uchambuzi wa timu za Afrika zinazocheza kombe la dunia nchini Brazil, tulizizungumzia timu za taifa za nchi zote tano zinazoshiriki michuano hiyo. Na vile vile tukaona nchi gani iliyoingia hatua ya mtoano na ipi iliyofungasha virago baada ya mechi za hatua ya makundi. Jumla ya nchi tatu zilitolewa katika hatua ya awali au ya makundi zikiwemo Ghana, Ivory Coast na Cameroon. Na nchi mbili zilizoendelea mbele katika hatua ya mtoano zilikuwa ni Algeria na Nigeria, sasa leo hii tutazungumzia hatua ya mtoano ilikuwa vipi kwa nchi hizo mbili.
    • Nchi zenye nafasi ya kuendelea mbele kwenye hatua ya mtoano

    Wiki iliyopita katika kipindi hiki cha Jamvi uchambuzi wa timu za Afrika zinazocheza kombe la dunia nchini Brazil, tulizizungumzia timu za taifa za nchi zote tano zinazoshiriki michuano hiyo. Na vile vile tukaona nchi gani iliyofanya vizuri au kujitahidi lakini pia tulizungumzia nchi zile zilizofanya vibaya na ambazo zilikuwa hatarini kufungashwa virago kwenye michuano hii. Na leo hii pia tutaendelea kuzijadili nchi hizo na kujua zipi zenye nafasi ya kuendelea mbele kwenye hatua ya mtoano na zipi zilizofurushwa kwenye michuano hiyo.

    More>>
    picha

    • Mchezaji wa Kenya Bw. Gilbert Kwemo (video)

    • Kijiji cha michezo ya Olimpiki ya vijana ya Nanjing (video)

    • Michezo ya Olimpiki ya vijana ya Nanjing (video)

    • Nani wanapinga Kombe la Dunia?
    More>>
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako