• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda itahitaji nafasi 200, 000 za ajira kila mwaka.

    (GMT+08:00) 2014-07-23 20:09:34

    Rwanda -Rwanda inakabiliwa na changamoto ya kufungua nafasi 200, 000 za ajia kila mwaka ili kupunguza umaskini lakini kazi hizo sio kwenye sekta ya kilimo.

    Licha ya kuwa uchumi wa Rwanda umeimarika ndani ya kipindi cha mika kumi iliopitabado nchi hiyo ya Afrika mashariki ina idadi kubwa yawatu wasiokuwa na kazi

    Watalam wanasema serikali inafaa kuanzisha sera ambazo zitafungua nafasi za ajira katika setka za usafishaji wa bidhaa za kilimo na sekta ya utoaji huduma.

    Kulingana na senza ya mwaka wa 2012, uchumi wa Rwanda kwa sasa unafungua nafasi 104, 000 za kazi kila mwaka lakini kiwango hicho ni cha chini ikilinganishwa na watu 125, 000 wanaoingia kwenye soko la ajira kila mwaka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako