• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wadau wa utalii kukongamana Uganda Novemba

    (GMT+08:00) 2014-07-23 20:09:52

    Tanzania- Wadau wa sekta ya utalii, maajenti wa usafiri kampuni za ndege na mahoteli nchini Tanzania wamealikwa kuhudhuria kongamano la 39 utalii duniani litakalofanyika Uganda ili kupata fursa ya kujumuika na wadau wengine kwenye sekta hiyo na pia kupigia debe huduma zao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako