Msemaji wa jeshi la Ukraine amesema ndege mbili za kivita za jeshi hilo zimetunguliwa mashariki mwa nchi hiyo, sehemu zinazodhibitiwa na waasi.
Wakati huohuo, waasi walio mashariki mwa Ukraine wametangaza kuangusha ndege mbili za kivita za jeshi la Ukraine.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |