• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Israel kupeleka askari elfu 16 zaidi kushiriki kwenye operesheni ya kijeshi huko Gaza

    (GMT+08:00) 2014-07-31 16:48:04

    Kikosi cha ulinzi cha Israel kitapeleka askari elfu 16 zaidi kushiriki kwenye operesheni ya kijeshi inayoendelea katika ukanda wa Gaza, ambao watafanya idadi ya jumla ya askari wa Israel ifikie elfu 86.

    Amri hiyo ilitolewa jana kwenye mkutano wa saa 5 wa baraza la mawaziri la Israel, ambao uliamua kuongeza operesheni ya kijeshi huko Gaza.

    Tangu Israel ianzishe mapambano makubwa katika ukanda wa Gaza, jumla ya watu 1,363 wamefariki, kati yao watoto ni 315 na wanawake 166.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako