• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali kuanzisha miongozo ya kudhibiti bei za mali

    (GMT+08:00) 2014-07-31 19:29:56
    Katika jaribio la kuzuia wateja kudanganywa na maajenti wa mali ambao ni walaghai,serikali ya Uganda itaanzisha miongozo ambayo wadau wa sekta hiyo watafuatilia katika kuamua bei za mali,afisa mkuu wa serikali amesema. Mkurugenzi wa wizara ya nyumba na ardhi,Bi Agnes Kadama Kalibala jana alisema kuwa miongozo hiyo itadhibiti bei za juu ambazo mali zinauzwa. Alisema wanajaribu kuona kuwa chama cha wenye mali kinapewa uwezo ili kwa pamoja waweze kuja na miongozo ambayo itahakikisha kwamba zinauzwa kwa bei nafuu. Aliongeza kuwa kwa sasa hakuna udhibiti wa bei za mali na ndio maana mara nyingi mali zinauzwa kwa bei za juu kupita kiasi.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako