• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nidhamu za chama na sheria haziruhusiwi kukiukwa

    (GMT+08:00) 2014-07-31 20:11:23

    Gazeti la Renminribao litatoa makala iitwayo nidhamu za chama na sheria haziruhusiwi kukiukwa. Makala hiyo inasema, kwa wanachama wa Chama cha Kikomunisti cha China, nidhamu za chama na sheria ni kanuni za msingi zinazopaswa kufuatwa na haziruhusiwi kukiukwa. Kuchunguzwa kwa Zhou Yongkang kumeonesha kuwa, kanuni iko wazi, kwamba kila mtu yuko sawa mbele ya nidhamu za chama na sheria, na kuwaonya wanachama kutokiuka nidhamu na sheria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako