Idhaa ya Kiswahili
Uchumi
Michezo
Facebook
ChinaABC
Sayansi
Afya
Sierra Leone yaanzisha kampeni ya kutokomeza Ebola
More>>
Habari
Nchi tatu za Afrika Magharibi zatoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuendelea kuongeza misaada ili kupambana na Ebola
Umoja wa Ulaya na nchi za Afrika kufanya mkutano kuhusu ufufuaji wa uchumi baada ya Ebola
AU yakaribisha kundi la kwanza la wafanyakazi wa afya waliotumwa kupambana na Ebola
Nchi zilizoathiriwa na Ebola zaweka mipango ya kufufua uchumi
Mkurugenzi wa UNDP afanya ukaguzi kuhusu hali ya ugonjwa wa Ebola nchini Liberia
More>>
maelezo
China yazisaidia nchi zinazoathiriwa na Ebola kuanzisha na kuboresha mfumo wa afya ya umma
Naibu mkurugenzi wa Kamati ya Afya na Uzazi wa Mpango ya China Bw. Ma Xiaowei amesema China inazisaidia nchi zinazoathiriwa na Ebola kudhibiti maambukizi ya ugonjwa huu na kuanzisha na kuboresha mfumo wa afya ya umma wa nchi hizo. Vilevile Bw. Ma amefahamisha kuwa, hakuna tukio la maambukizi ya Ebola, wala watu wanaodhaniwa kuambukizwa virusi vya Ebola nchini China kwa sasa.
Chanjo ya Ebola yaanza kufanyiwa majaribio nchini Usiwisi wiki hii
Hatimaye chanjo ya Ebola inayosubiriwa kwa muda mrefu inaanza kufanyiwa majaribio wiki hii nchini Uswisi.
Wanasayansi wasema Dar iko katika hatari ya kupata mlipuko wa Ebola
Wanasayansi kutoka chuo kikuu cha Oxford nchini uingereza wameiweka Tanzania katika orodha ya nchi za Afrika ambazo ziko katika hatari kubwa ya kupata mlipuko wa Ebola. Wanasayansi hao pia wameonya kwamba zaidi ya watu milioni 22 barani Afrika wako katika hatari ya kupata maambukizi.
More>>
picha
Sierra Leone yaanzisha kampeni ya kutokomeza Ebola
Kikosi cha tatu cha madaktari wanajeshi wa China chaelekea Sierra Leone kusaidia kupambana na Ebola
Ugonjwa wa Ebola huenda ukatokomezwa Liberia mwishoni mwa Juni mwaka huu
Ban Ki Moon atoa wito wa juhudi za kufufua eneo la Afrika Magharibi kufuatia madhara ya Ebola
More>>
Webradio
Sauti
6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
FM 1
12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
FM 2
20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
FM 3A
FM 3B
Maoni yako
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved.
16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040