• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Michezo ya Olimpiki ya vijana ya Nanjing yafungwa

    (GMT+08:00) 2014-08-28 22:18:00

    Michezo ya pili ya Olimpiki ya vijana ya majira ya joto leo usiku imefungwa mjini Nanjing, China. Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang amehudhuria sherehe ya ufungaji wa michezo hiyo huku mwenyekiti wa Kamati ya Olimpiki ya kimataifa Bw. Thomas Bach ametangaza kufungwa kwa michezo hiyo.

    Bw. Bach amezisifu maandalizi mazuri ya michezo na kusema kuwa kamati ya maandalizi ya michezo hiyo imetumia urithi wa kihistoria huku kuvumbua urithi mpya na kuweka mfano mzuri kwa maandalizi ya michezo katika siku za baadae.

    Michezo hiyo ya vijana ni mikubwa zaidi katika historia, na wachezaji zaidi ya 3,700 kutoka nchi mbalimbali duniani wameshindana kwenye michezo 28 iliyofanyika kwa muda wa siku 13.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako