• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa wanadhimu wakuu wa majeshi ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai wafanyika Beijing

    (GMT+08:00) 2014-08-29 10:45:00

    Mkutano wa tatu wa wanadhimu wakuu wa majeshi ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai umefanyika hapa Beijing. Kwenye mkutano huo, China imetoa mapendekezo ya kuimarisha ushirikiano, kuaminiana, maendeleo na ushirikiano kwenye mapambano dhidi ya ugaidi. Wajumbe waliohudhuria mkutano huo wamepitia na kufanya majumuisha ya maendeleo ya nchi wanachama wa jumuiya hiyo katika mambo ya ulinzi na usalama, na kufurahishwa na maendeleo ya ushirikiano kati yao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako