• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yasema kuiwekea vikwazo Ukraine hakutasaidia kutatuza mgogoro unaoendelea nchini humo

    (GMT+08:00) 2014-09-01 19:40:12

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Qin Gang leo hapa Beijing amesema, uamuzi wa Umoja wa Ulaya wa kuiwekea vikwazo Ukraine hautasaidia kutatua mgogoro wa Ukraine, bali pande husika zinatakiwa kusimamisha vita mara moja na kuanza mchakato wa kisiasa wa kutatua mgogoro huo.

    Bw. Qin Gang pia amesema, maslahi ya makabila na makundi mbalimbali ya Ukraine yanapaswa kuheshimiwa na kuzingatiwa, na pia yanalingana na ufuatiliaji mwafaka wa pande husika. Pande zote zinapaswa kuchukua hatua halisi, kujenga uelewano, kurejesha utulivu, na kulinda amani na utulivu wa sehemu hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako