• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wachina wanaoishi Afrika Mashariki waunga mkono uamuzi wa bunge la umma la China kuhusu uchaguzi wa Hong Kong

    (GMT+08:00) 2014-09-02 09:29:07
    Viongozi wa jumuiya mbili za Wachina wanaoishi katika nchi za Afrika Mashariki wameeleza kuunga mkono kithabiti uamuzi uliofanywa na bunge la umma la China kuhusu uchaguzi wa ofisa mkuu wa eneo la utawala maalum la China, Hong Kong anayechaguliwa na raia. Wamesema kuendeleza demokrasia huko Hong Kong kwa kufuata sera ya "nchi moja na mifumo miwili", na "watu wa Hongkong watawale Hong Kong wakiwa na kiwango cha juu cha kujitawala" ni hatua muhimu kwa ajili ya maendeleo ya jamii ya Hong Kong, na pia imefungua ukurasa mpya kwa historia ya Hong Kong.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako