• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mjumbe wa rais wa China asema jumuiya ya kimataifa inapaswa kusaidia nchi za visiwa vidogo kupata maendeleo endelevu

    (GMT+08:00) 2014-09-02 10:47:04

    Mjumbe maalum wa rais wa China anayehudhuria mkutano wa tatu wa nchi zinazoendelea za visiwa vidogo nchini Samoa, Bw. Zhang Yesui amesema kusukuma mbele maendeleo endelevu ya nchi hizo za visiwa vidogo si kama kutazinufaisha nchi hizo tu, bali pia kunahusiana na maslahi ya watu wote duniani. Amesema China inapenda kuendelea kuimarisha ushirikiano na nchi hizo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako