• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nigeria yathibitisha matukio matatu ya maambukizi ya Ebola katika jimbo la Port Harcourt nchini humo

    (GMT+08:00) 2014-09-02 11:17:19

    Waziri wa afya wa Nigeria Bw Onyebuchi Chukwu amesema hadi sasa jumla ya matukio matatu ya maambukizi ya virusi vya Ebola yameripotiwa katika jimbo la Port Harcourt. Akizungumza na waandishi wa habari, Bw Chukwu amesema idadi hiyo imefikiwa baada ya vipimo vya wiki iliyopita kuonyesha kuwa mwanamke mmoja na wafanyakazi wawili hospitali wameambukizwa virusi vya Ebola. Daktari mmoja aliyekuwa akiwatibu wagonjwa hao alifariki ndani ya wiki mbili baada ya kuugua ugonjwa huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako