• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mradi wa ujenzi wa kituo cha mafunzo kwa wanawake nchini Chad kilichojengwa kwa msaada wa China chakabidhiwa

    (GMT+08:00) 2014-09-12 19:22:29

    Hafla ya kukabidhi mradi wa ujenzi wa kituo cha mafunzo kwa wanawake nchini Chad uliofanywa kwa msaada wa serikali ya China imefanyika jana mchana katika mji mkuu wa Chad, N'Djamena.

    Waziri wa afya ya umma, shughuli za kijamii na mshikamano wa taifa wa Chad amesema, mradi huo ukiwa ni wa kwanza kwa ajili ya wanawake tangu Chad ipate uhuru miaka 50 iliyopita, una umuhimu mkubwa wa kihistoria. Ameishukuru serikali ya China kwa juhudi zake katika kuhimiza maendeleo ya wanawake nchini Chad, na pia anatumai kuwa nchi hizo mbili zitaweza kuimarisha zaidi ushirikiano kwenye sekta ya afya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako