• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 2 wauawa kwenye mlipuko wa bomu uliotokea karibu na wizara ya mambo ya nje ya Misri

    (GMT+08:00) 2014-09-21 19:23:46

    Watu 2 wameuawa na wengine 6 kujeruhiwa katika mlipuko wa mabomu uliotokea leo asubuhi katika barabara kuu karibu na wizara ya mambo ya nje nchini Misri.

    Gazeti la serikali ya Misri Al-Ahram limeeleza kuwa, watu hao wawili waliouawa ni askari wa Misri. Habari nyingine zinasema, idara ya usalama ya Misri inaona kundi la kiislam lenye msimamo mkali linalojiita Ansar Bayt al-Maqdis limehusika na mlipuko huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako