• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mawaziri wa mambo ya nje wa China na wa Ufaransa wafanya mazungumzo

    (GMT+08:00) 2014-10-20 10:04:06

    Bw. Wang Yi amesema, mawasiliano ya mara kwa mara ya ngazi ya juu kati ya China na Ufaransa yanaonesha uhusiano mzuri kati ya nchi hizo, ushirikiano halisi wa pande zote, na maendeleo halisi mapya katika sekta nyingi, na kuongezeka kwa mawasiliano ya kiutamaduni, na nchi hizo mbili kuwa na mawasiliano mazuri katika masuala makubwa ya kimataifa na kikanda. Ameongeza kuwa, katika kipindi kijacho China na Ufaransa zinapaswa kuendelea na mawasiliano ya ngazi ya juu kati yao.

    Bw. Fabius amesema mwaka huu mafanikio makubwa ya ushirikiano kati ya Ufaransa na China yamepatikana katika sekta za mkakati, uchumi, elimu, utamaduni, sayansi na teknolojia, nchi hizo mbili zinapaswa kutekeleza kihalisi makubaliano yaliyofikiwa na viongozi wa nchi hizo mbili, na kusukuma mbele uhusiano kati ya Ufaransa na China.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako