• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China yajadili kuhimiza utawala wa kisheria

    (GMT+08:00) 2014-10-20 18:35:40

    Mkutano wa 4 wa kamati kuu ya awamu ya 14 ya chama cha kikomunisti cha China utafanyika kuanzia leo hadi tarehe 23 mwezi huu hapa Beijing, na utajadili suala la kuhimiza kwa pande zote utawala kwa mujibu wa sheria.

    Wachambuzi wanaona kuwa, China inapaswa kulinda kempeni yake dhidi ya ufisadi kwa hatua thabiti za kimfumo, ili iwe msukumo muhimu kwa kuimarisha utulivu katika jamii, kuhimiza maendeleo ya uchumi, kudumisha mshikamano wa wananchi, na kusukuma mbele mageuzi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako