• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wapiganaji 21 wa kundi la Houthi wauawa katika shambulizi lililofanywa na wapiganaji wa kundi la Al Qaida nchini Yemen

    (GMT+08:00) 2014-10-20 18:40:35

    Wapiganaji 21 wa kundi la kishia la Houthi wameuawa katika shambulizi lililofanywa mapema leo na watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa kundi la Al Qaida mjini Radda, mkoa wa al-Bayda, nchini Yemen.

    Shambulizi hilo ni mfululizo wa mapigano yaliyoanza jana usiku, na mpaka sasa hakuna taarifa zozote za vifo au majeruhi kwa upande wa wapiganaji wa kundi Al Qaeda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako