• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa zamani wa Zambia Kenneth Kaunda kupokea tuzo ya juu

    (GMT+08:00) 2014-10-20 19:11:33

    Orodha iliyotolewa leo na ofisi ya makamu rais wa Zambia Guy Scott imeonyesha kuwa, rais wa zamani wa nchi hiyo Kenneth Kaunda, atakabidhiwa tuzo ya kwanza ya ngazi ya juu nchini humo wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa nchi hiyo.

    Kaunda ambaye pia anajulikana kama baba wa taifa, ni mmoja kati ya watu 1,356 watakaopewa tuzo na rais Michael Sata katika sherehe itakayofanyika tarehe 24 mwezi huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako