• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa zamani wa Malaysia asema harakati za kukalia katikati mkoani Hong Kong si demokrasia

    (GMT+08:00) 2014-10-24 18:38:34

    Waziri mkuu wa zamani wa Malaysia Mahathir bin Mohamad amesema kuwa, harakati za kukalia katikati sio demokrasia kutokana na idadi ndogo ya watu wanaounga mkono harakazi hiyo.

    Habari nyingine zinasema, mkuu wa zamani wa mkoa wa Hong Kong Tung Chee-hwa amesema, anaamini kuwa jeshi la ukombozi la watu wa China halitaingilia kati maandamano yanayoendelea mkoani humo, na ana imani kuwa polisi ya Hongkong ina uwezo wa kushughulikia mwafaka tukio hilo. Tung amesema hayo alipokutana na waandishi wa habari hii leo, ikiwa ni mara ya pili kwa kiongozi huyo kukutana na waandishi wa habari tangu harakati za kukalia katikati zianze September 28 mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako