• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Chama tawala cha Botswana chaongoza kwa viti kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa nchini humo

    (GMT+08:00) 2014-10-25 19:44:42

    Tume ya uchaguzi ya Botswana imetangaza matokeo ya uchaguzi wa ijumaa wa serikali za mitaa yanayoonyesha chama tawala cha Botswana BDP kikiongoza kwa kupata viti vingi. Msemaji wa tume hiyo Osupile Maroba amesema jumla ya kura elfu 160,870 tayari zimehesabiwa ambapo chama cha BDP kinaongoza kwa kupata jumla ya kura elfu 76,214. Awali Maroba alisema walitarajia kukamilisha shughuli ya kuhesabu kura leo adhuhuri.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako