• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China kuhudhuria mkutano wa mwaka 2014 wa viongozi wa biashara na viwanda wa APEC

    (GMT+08:00) 2014-10-30 19:38:24
     Rais Xi Jinping wa China atahudhuria na kuhutubia ufunguzi wa mkutano wa mwaka 2014 wa viongozi wa biashara na viwanda wa jumuiya ya ushirikiano wa kiuchumi wa Asia na Pasific, APEC.

    Mkutano huo ambao una athari kubwa katika sekta ya biashara na viwanda kwenye sehemu ya Asia na Pacifiki hufanyika kila mwaka wakati wa mkutano usio rasmi wa viongozi wa APEC, na ni jukwaa muhimu la mawasiliano kati ya viongozi wa jumuiya mbalimbali za kiuchumi na sekta za biashara na viwanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako