• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa mambo ya nje wa China akutana na maofisa wa watakaoshiriki mkutano kuhusu Afghanistan

    (GMT+08:00) 2014-10-31 11:03:54

    Waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi amekutana na maofisa watakaoshiriki mkutano wa nne wa mchakato wa Istanbul kuhusu Afghanistan ambao unatarajiwa kuanza leo. Akikutana na mwenzake wa Afghanistan Zarar Ahmad Osmani, Bw Wang alielezea matumaini yake kwamba mkutano huo utakuwa na mafanikio. Bw Wang na Osmani watakuwa wenyekiti wa mktano huo. Bw Wang pia alipongeza ziara ya rais mpya wa Afghanistan Ashraf Ghani nchini China wiki hii na kusema viongozi wa nchi zote mbili walifikia makubaliano ya kuboresha ushirikiano ili kuleta maendeleo siku za baadaye.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako