• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China akutana na kiongozi wa chama cha leba cha New Zealand

    (GMT+08:00) 2014-11-21 10:28:11

    Rais Xi Jinping wa China ambaye yuko ziarani nchini New Zealand jana alikutana na kiongozi wa chama cha leba cha nchi hiyo Bw. Andrew Little.

    Rais Xi Jinping anatumai kuwa chama hicho kitatoa mchango mpya katika kukuza uhusiano kati ya China na New Zealand, na chama cha kikomunisti cha China kitaendelea kufanya mawasiliano na chama cha Leba cha New Zealand. Bw. Little amesema chama chake siku zote kinazingatia kuendeleza uhusiano na China, na kitaendelea kufanya juhudi ili kuhimiza mawasiliano, maelewano na ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako