• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 11 wafariki nchini Zimbabwe baada kutokea tukio la kukanyagana kanisani

    (GMT+08:00) 2014-11-21 20:07:25

    Polisi nchini Zimbabwe wamesema, watu 11 wamefariki na wengine 40 kujeruhiwa jana usiku baada ya kutokea mkanyagano wakati wa ibada kwenye kanisa moja mjini Kwekwe, kilomita 213 kusini magharibi mwa mji mkuu wa Zimbabwe, Harare.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako