• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marais wa Russia na Ukraine wafanya mazungumzo kuhusu suala la Ukraine

    (GMT+08:00) 2014-11-28 11:02:17

    Habari kutoka tovuti ya ikulu ya Russia Kremlin zinasema, kutokana na pendekezo la upande wa Ukraine, rais Vladimir Putin wa Russia na rais Poroshenko wa Ukraine juzi usiku walifanya mazungumzo kwa njia ya simu kuhusu suala la Ukraine.

    Marais hao walijadili uhusiano kati ya nchi zao na hali ya sehemu ya mashariki mwa Ukraine.

    Vyombo vya habari vimesema rais Putin alimtishia rais Poroshenko,lakini ofisa habari wa rais wa Russia Bw. Dmitr Peskov alikanusha habari hiyo. Mazungumzo kati ya marais hao yana umuhimu wa kiujenzi kwenye utatuzi wa mgogoro wa Ukraine.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako