• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • OPEC yadumisha kiwango cha uzalishaji wa mafuta

    (GMT+08:00) 2014-11-28 11:05:15

    Mawaziri wa jumuiya ya nchi zinazouza mafuta kwa wingi OPEC wameamua kudumisha kiwango cha uzalishaji wa mafuta wakati bei ya mafuta duniani ikipungua kwa kiasi kikubwa. Uamuzi huo wa kudumisha uzalishaji wa mapipa milioni 30 kwa siku uliopitishwa mwezi Desemba mwaka 2011, unalenga kurejesha uwiano katika soko katika hali ambayo bei ya mafuta inaendelea kupungua kwa kasi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako