• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • WTO yapitisha Makubaliano ya kurahisisha biashara

    (GMT+08:00) 2014-11-28 20:21:46

    Shirika la biashara duniani WTO limetangaza kuwa, makubaliano ya kurahisisha biashara TFA ambayo yalikwama kwa miezi minne yamepitishwa na kuwa sehemu ya kanuni za shirka hilo.

    Makubaliano ya kurahisisha biashara ambayo yana atahri kubwa kwa biashara duniani ni moja ya makubaliano ya mfululizo yaliyofikiwa Desemba mwaka jana huko Bali na nchi wanachama wa WTO. Makubaliano hayo yanalengakuongeza ufanisi wa biashara ya kuvuka mipaka, kupunguza gharama, kubuni nafasi za ajira na kuongeza thamani ya biashara duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako