• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 132 wauawa kwenye shambulizi la shule  nchini Pakistan

    (GMT+08:00) 2014-12-16 19:19:55

    Takriban watu 132 wameuawa na wengine 245 kujeruhiwa baada ya wapiganaji la kundi la Taliban waliovalia sare za kijeshi kufanya mashambulizi leo saa 4 asubuhi kwa saa za huko, katika shule ya umma inayoendeshwa na jeshi huko Peshawar katika jimbo la Khyber Pakhtunkhwa, Pakistan.

    Vyombo vya habari vya huko vimesema idadi isiyojulikana ya wanafunzi na walimu wanashikiliwa mateka, na walinzi wa usalama wanapambana na wapiganaji hao na kuwaua wapiganaji watatu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako