• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mabalozi wa nchi za Afrika nchini China wakutanishwa na wafanyabiashara wa China

    (GMT+08:00) 2014-12-17 10:40:50

    Mkutano wa kwanza kati ya mabalozi wa nchi za Afrika nchini China na wafanyabiashara wa China umefanyika hapa Beijing. Wajumbe kutoka ubalozi wa Madagascar, Ethiopia, Uganda, Cameroon, Guinea, Cote d'Ivoire na nchi nyingine za Afrika, wamebadilishana maoni na wafanyabiashara hao karibu 100 kuhusu nafasi za uwekezaji barani Afrika.

    Kwa sasa zaidi ya kampuni 2000 za China zinawekeza katika nchi mbalimbali za Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako