• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani yatangaza vigezo vya bei za bidhaa za China zinazotumia nishati juu zinazoingizwa nchini Marekani

    (GMT+08:00) 2014-12-17 19:05:30

    Wizara ya Biashara ya Marekani imetangaza vigezo vya bei za bidhaa za China zinazotumia nishati ya jua zinazoingizwa nchini Marekani ili kufanya maandalizi kwa serikali ya Marekani kufanya uamuzi wa kutoza ushuru kwa bidhaa hizo katika miezi ijayo.

    Wizara hiyo imesema bidhaa hizo zinauzwa kwa kuanzia asilimia 26.71 hadi asilimia 165.04 chini ya bei ya kawaida.

    Kamisheni ya Kimataifa ya Biashara ya Marekani iatatoa uamuzi wa mwisho utakaoamua kuwekwa ushuru au la. Uamuzi huo unatarajiwa kutolewa Januari 29, 2015.

    Wakati huohuo, afisa wa Wizara ya Biashara ya China amesema tangazo lililotolewa na Wizara ya Biashara ya Marekani limezidisha migongano ya biashara ya bidhaa zinazotumia nishati ya juu kati ya China na Marekani, kuharibu biashara na ushirikiano kati ya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako