• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali imeweka sh20b kwa mifugo.

    (GMT+08:00) 2014-12-17 19:56:48

    Serikali ya uganda imetenga shilingi bilioni 20 kwa ajili ya mifugo imetenga sh20b kwa ajili ya kuongeza mifugo katika eneo la Nile magharibi katika mwaka wa fedha wa 2014 na 2015.

    Asilimia 97% za fedha hizo zitatumika kwa ajili ya ununuzi wa mifugo na zengine kwa gharama za uendeshaji kwa mujibu wa Gonzaga Mayanja, kamishina katika ofisi ya waziri mkuu ambaye anasimamia mipango ya mifugo kaskazini mwa Uganda

    Bw: Mayanja, Alifafanua kwamba watoa huduma tayari wa tia saini kwa mikataba.

    Ifikapo Januari mwaka ujao, upeanaji wa mifugo katika wilaya zilizo wasilisha orodha zao utaanza.

    Mpango huu unalengo la kuinua uchumi wa nchi na kuepesha watu na umaskini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako