• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko Msumbiji yafikia 117

    (GMT+08:00) 2015-01-29 10:31:52

    Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko kaskazini na maeneo ya kati ya Msumbiji imefikia 117, hayo ni kwa mujibu wa idara ya kushughulikia majanga nchini humo. Idara hiyo imesema hadi Januari 25 zaidi ya watu laki mbili walikuwa wameathirika kwenye maeneo hayo huku madarasa 1, 400 yakiharibiwa na masomo ya zaidi ya wanafunzi elfu 78. Serikali za mitaa sasa zinagawa viwanja kwa wahanga ili kuwawezesha kujenga makazi mapya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako