• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yafanya semina ya Njia ya Hariri Baharini

    (GMT+08:00) 2015-02-11 19:39:27

    Semina ya kimataifa ya siku mbili kuhusu miundombinu ya biashara ya Njia ya Hariri Baharini katika kanda ya Asia imeanza leo mjini Quanzhou, kusini mashariki mwa China.

    Zaidi ya wasomi na wataalam 280 kutoka nchi 30 wamealikwa kujadili mapendkezo ya kujenga Njia ya Hariri Baharini ya Karne ya 21. Semina hiyo inajumuisha mikutano mitatu itakayojadili thamani na umuhimu wa kuanzishwa kwa Njia ya Hariri Baharini ya Karne ya 21, kufanya kazi kwa pamoja kwa maendeleo na ustawi wa pamoja, na kutumia fursa mpya za maendeleo na kufuatilia matarajio mapya ya ushirikiano.

    Mwaka 2013, rais Xi Jinping wa China alipendekeza kufanya njia ya hariri iwe ya kisasa ili iweze kulinufaisha bara la Asia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako