• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya

 • Mkutano wa mwaka wa Baraza la mashauriano ya kisiasa la China waanza hapa Beijing
  More>>
  Habari
  • Ajenda za mkutano wa tatu wa bunge la awamu ya 12 la umma la China zathibitishwa 2015-03-04
  • Wabunge 39 wafukuzwa ubunge kutokana na kukiuka sheria au nidhamu 2015-03-04
  • Mkutano wa Baraza la mashauriano ya kisiasa la China wafuatilia masuala yanayohusu maisha ya wananchi 2015-03-04
  • Mwanadiplomasia wa Tanzania nchini China atarajia kujifunza mkakati wa mageuzi ya China 2015-03-03
  • China kutilia maanani zaidi utekelezaji wa sheria kuhusu uhifadhi wa mazingira 2015-03-03
  More>>
  Maelezo
  • OECD yasema mageuzi nchini China yapata maendeleo dhahiri
  Jumuia ya Ushirikiano wa Uchumi na Maendeleo OECD imesema, mageuzi nchini China katika miaka ya karibuni kwenye sekta muhimu yamepata maendeleo dhahiri.
  • China kuongeza usimamizi kwa bidhaa feki zinazouzwa kupitia mtandao wa internet
  Wizara ya Biashara ya China imeitisha mkutano na waandishi wa habari ili kujibu masuala yaliyogonga vichwa vya habari hivi karibuni. Kuhusu suala la uuzaji wa bidhaa feki kupitia mtandao wa internet, msemaji wa wizara hiyo Bw. Shen Danyang amesema China itatumia teknolojia mpya kuongeza usimamizi dhidi ya suala hilo.
  • GDP ya China yaongezeka kwa asilimia 7.4 kwa mwaka 2014
  Takwimu zilizotolewa leo na mamlaka ya takwimu ya China zimeonesha kuwa thamani ya jumla ya uzalishaji GDP ya China iliongezeka kwa asilimia 7.4 kwa mwaka 2014 na kufikia dola za kimarekani trilioni 10.4. Kasi hiyo ya ukuaji wa GDP ni ndogo zaidi katika miaka 24 iliyopita, hata hivyo inalingana na matarajio ya soko, wakati Chinanchi hiyo ikinakumbatia hali mpya ya kawaida ya uchumi wake ambao unasisitiza kupunguza kasi ya ongezeko lakini kuongeza ubora wake.
  More>>
  Picha

  Mkutano wa mwaka wa Baraza la mashauriano ya kisiasa la China waanza hapa Beijing

  Mapendekezo 979 yawasilishwa kwenye mkutano wa tatu wa Baraza la mashauriano ya kisiasa

  China yafanya semina ya Njia ya Hariri Baharini

  Waziri mkuu wa China afanya mazungumzo na wataalamu wa kigeni
  More>>
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako