• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kikosi cha kwanza cha kulinda amani cha China chaelekea Sudan Kusini

    (GMT+08:00) 2015-02-27 10:38:12

    Kikosi cha kwanza cha kulinda amani cha China kinachoundwa na askari 144 wa ardhini jana kiliondoka na kuelekea Sudan Kusini kwa ndege ya Umoja wa Mataifa.

    Kwa mujibu wa mpango, Askari wengine 520 wa kikosi hicho watapelekwa kwa vikundi nchini Sudan Kusini na kutekeleza majukumu ya kulinda amani kwenye eneo la Juba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako