• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Utawala wa sheria wafanya uongozi wa nchi kuingia katika hatua mpya

    (GMT+08:00) 2015-02-27 20:31:38

    Gazeti la Renminribao la China limesema mageuzi yanapaswa kufanywa kwa kufuata sheria, na kuimarisha mageuzi kwa pande zote na kutawala nchi kwa mujibu wa sheria vinakwenda sambamba katika kujenga jamii yenye maisha bora ya pande zote.

    Gazeti hilo limesisitiza kuwa hakuna madaraka nje ya sheria, ujenzi wa utawala wa sheria unapaswa kuendana na mageuzi ya kazi za serikali na kuufanya umma ujisikie kutendewa haki na usawa katika kesi yoyote ya kisheria, na maofisa wanapaswa kutoa mfano katika kuheshimu, kujifunza, kufuata na kutumia sheria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako