• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mapendekezo 979 yawasilishwa kwenye mkutano wa tatu wa Baraza la mashauriano ya kisiasa

    (GMT+08:00) 2015-03-03 09:59:46

    Hadi jana mkutano wa tatu wa Baraza la 12 la mashauriano ya kisiasa la China ulipokea mapendekezo 979, na 657 kati ya hayo yameandikishwa.

    Imefahamika kuwa mapendekezo mengi ya mwaka huu yanalenga kudumisha ongezeko la uchumi, kuimarisha mageuzi, kuhimiza utawala wa kisheria, kuboresha maisha ya wananchi na kushirikisha zaidi umma katika maamuzi kuhusu masuala ya uhakikisho wa jamii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako