• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwanadiplomasia wa Tanzania nchini China atarajia kujifunza mkakati wa mageuzi ya China

    (GMT+08:00) 2015-03-03 21:03:42

    Mwambata wa ubalozi wa Tanzania nchini China anayeshughulikia masuala ya elimu George Manongi ambaye alialikwa kwenye ufunguzi wa mkutano wa baraza la mashauriano ya kisiasa la China amesema, anatarajia kuangalia kwa karibu na kujifunza mkakati wa mageuzi nchini China.

    Manongi amesema mageuzi ni suala linalofuatiliwa zaidi nchini China, na juhudi za kuhimiza mageuzi kwa kina na kwa pande zote zinazipa imani nchi nyingine zinazoendelea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako